Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015. (Zicheki hapa kwa urahisi) 23:13 – No comments Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015. (Zicheki hapa kwa urahisi) 27th Of April,2015. Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa. kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo: TANGAZO LA AJIRA MPYA ZA WALIMU KWA MWAKA 2015. TANGAZO LA KUTOLEWA ORODHA WALIMU WA SEKONDARI 2015. Ajira za Walimu wa Cheti (Shule za Msingi) 2015. Share This: FacebookTwitterGoogle+StumbleDigg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment